Mlinzi Wake Maria

Have a look at the video below to get the tune

The words are as follows:


 
1     Mlinzi wake maria, mema mengi yako,
    Leo tumefahamu, mlinde mtoto wako.
 
    Kiitikio: Mlinde mlinde mtoto wako x2
 
2    Akija Rabi kwetu, ashukia kwako,
    Hana kaya kwa watu, ila nyumba yako.
 
3    Mle bandani kwa nyama, ulikuwa huko,
    uliyemlinda mama, mlinde mtoto wako.
 
4    Ukamlisha mwokozi, ndio kazi yako,
    Baba yake mkombozi, mlinde mtoto wako.
 
5    Watokapo askari, mtoto yesu hako,
    Ulimchukuwa misri, mlinde mtoto wako.
 
6    Ee yosefu myenyekevu, kwa msaada wako,
    Tupewe wokovu, mlinde mtoto wako